Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika
Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake
yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na
Mkewe Mama Sitti Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini
Arusha.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na
Mkewe Mama Anna Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini
na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la
aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Mke wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer
pamoja na familia ya Marehemu,wakiweka
shada la maua
kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Moja ya Mabango Makubwa yanayomuonyesha Marehemu Askofu Dk.
Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha,likionekana nje ya Kanisa la KKKT jijini Arusha.
Picha ya Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer.
Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza
jopo la Maaskofu kuelekea kwenye eneo la Maziko ya aliekuwa Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika
Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha na kuzijika jioni hii kwenye
eneo la nje ya kanisa hilo.
Mwili wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer ukiwasili eneo la
Kaburi.
Maaskofu wakiongoza ibada ya maziko ya aliekuwa Askofu Mkuu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika
Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha na kuzijika jioni hii kwenye
eneo la nje ya kanisa hilo.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiweka udongo kaburini.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya maziko ya Dk. Laizer jioni
hii,jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei na Meneja
wa CRDB kanda ya Kaskazini wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya
Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari
7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi
yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la
Hai,Mh. Freemon Mbowe akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini
na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake
yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akiweka
shada la maua
kwenye Kaburi la Dk. Thomas Laizer .
Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa wakiweza Shada la Maua kaburini.
Waheshimiwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri pia walijumuika kwa
pamoja kuweka shada la Maua
kaburini hapo.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiweka shada la
maua kwenye Kaburi la Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa
Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake kwa
waombolezaji wa msiba mkubwa wa aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk.
Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.katika Kanisa Kuu la KKKT jijini Arusha jioni hii.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akitoa
salamu zake.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya maalum la kumuombea Marehemu
Dk. Laizer kabla ya kwenda kwenye maziko
jioni hii,jijini Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili
Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu
Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini
Arusha leo.
Mke wa Marehemu,Mama Maria Laizer (kushoto) akiwa na
waombolezaji wengine.
Viongozi Mbali mbali.
Viongizi wa Dini.
Mzee Mwinyi akiwasili kanisani hapo na kupokelewa na baadhi
ya viongozi wa Kanisa.
Maaskofu wakuu.
Mzee Mkaa na Mama Mkapa wakiondoka kanisani hapo.
Mzee Mwinyi akiwaaga waombolezaji wengine.
Rais Kikwete akiaga.
Ndg Kinana.
Mh. Mbowe akisalimiana na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM wa
Wilaya ya Arusha Ndg. Jasper Kishumbua (shati la kijani)
Mh. Lowassa akibazungumza na Bw. Ole Milya.
Mh. Lowassa akiaga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meneja wa shirika la ndege la Ethiopian Ndg. Nadia Ahmed (aliyefunga kitambaa kichwani na akiwa ameongozana na baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo.
No comments:
Post a Comment