Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo ya Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi
ya Kaskazini Kati la Kanisa la Kiinjili cha Kilutheri Tanzania (KKKT) leo,
Alhamisi, kwenye Kanisa Kuu la KKKT mjini Arusha kabla ya kutoa heshima zake za
mwisho kwa mwili wa Askofu.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini Kati la Kanisa la Kiinjili cha
Kilutheri Tanzania (KKKT) leo, Alhamisi, kwenye Kanisa Kuu la KKKT mjini
Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete akiifariji familia ya Askofu Thomas Laizer wa Dayosisi ya Kaskazini
Kati nyumbani kwa Askofu mara baada ya kuwa ametoa heshima zake za mwisho kwa
mwili wa marehemu kwenye Kanisa Kuu la KKKT mjini Arusha leo, Alhamisi,
Februari 14, 2013. Picha zote na Fredy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment