Saturday, April 6, 2013

KATIBU WA NEC, ITIKADI NA UENEZI, NAPE NNAUYE AFUNGUA SEMINA YA KAMATI YA UTENDAJI YA CCM KILIMANJARO LEO.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye afungua wa Semina kwa 
Wajumbe wa HalmashauriKuu ya CCM Mkoani Kilimanjaro, leo Aprili 6, 2013, mjini Moshi 
kwenye ukumbi wa VETA. (Picha na Bashir Mkoromo).

Wakuu wa Wilaya ya Kilimanjaro, wakitambulishwa kwenye Semina ya Wajumbe wa 
Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Kilimanjaro, Moshi kwenye ukumbi wa VETA. 
Kutoka kushoto,Ndg.Charles (Siha), Novatus Makunga (Hai), Elinas Pallangyo (Rombo), 
Shaibu Ndemanga (Mwanga), HELMAN Kapufi(Same) na Dk. Ibrahim Msengi (Moshi Mjini)
Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro,Ndg.Steven Kazidi akizungumza 
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kilimanjaro,wakimpongeza Katibu wa NEC, 
Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye kwenye ukumbi wa VETA  Mjini Moshi.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger