.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akimpokea Mwanachama kutoka chama cha CHADEMA Pancras Mogela aliyeamua kujiunga kwenye Tawi la CCM Viwanjani,Ulanga. Kushoto ni Katibu wa NEC,Oganaizesheni,Ndg. Khatib na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Morogoro



Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akipokea kadi ya mwanachama mpya kutoka Chadema, Kijiji cha Mwaya.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi ya CCM Mwanachama mpya wa CCM tawi la Mawasiliano,Ulanga,Magdalena+Mashinga.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akimsikiliza Katibu wa Tawi la CCM Kiwanjani,Ulanga Ndg Francis Kanyali wakati akisoma taarifa ya tawi hilo.

Katibu wa NEC,Oganaizesheni,Ndg. Khatib akikagua daftari la Wanachama wa Tawi la Mawasiliano,Ulanga.
.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tawi la Ulanga Mjini.


Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akikabidhi zawadi ya mbuzi kwa Nahodha Steven Maundu wa timu ya Libenenga. Kulia ni Abdalah Mazengo wa Timu ya Nkongo F.C iliyofungwa mabao 2-0 katika kuwania kikombe cha KINANA CUP , Ulanga
No comments:
Post a Comment