Sunday, May 26, 2013

CCM KIMANDOLU WAITEKA ARUSHA - UZINDUZI

Mbunge wa Simanjiro Ndg C. Sendeka katika uzinduzi wa kampeni Kata ya Kimandolu

Mgombea wa Udiwani Kata ya Kimandolu kwa tiketi ya CCM Ndg Edna J. Sauli akinadi sera
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha (Mb) Ndg.M.Chatanda akimwaga sera za Chama Cha Mapinduzi
 - Kata yaKimandolu
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha (Mb) Ndg.M.Chatanda akimwaga sera za Chama Cha Mapinduz
Katibu wa UVCCM Mkoa Ndg. Kidima akiserebuka kwa furaha,kuli ni Shaaban Mdoe
Mbunge wa Simanjiro Ndg C.Sendeka akijiandaa kumwaga radhi.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha akiongea na wananchi wa Kata ya Kimandolu
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Abrahamu akifungua uzinduzi huo rasmi leo

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger