Waziri Wassira akiongea wananchi waliofika kwenye kukamilisha uzinduzi wa kampeni za Udiwani Kata ya Elerai leo |
Muasisi wa Chadema arudisha kadi mbele ya Wasira katika uzinduzi Elerai Ndg Muhidini Kisiwa |
Mgombea udiwani wa CCM Ndg Imanueli Laiser akinadiwa na Ndg S.Wassira katika uzinduzi huo,leo. |
Kadi hiyoooooooooooooo....... Wassira Kiboko yao... |
Mgombea wa CCM Ndg Imanuely akimtambulisha baba yake mzazi Mzee Thomasi Meliari katika viwanja vya Shule ya Msingi Elerai |
No comments:
Post a Comment