skip to main |
skip to sidebar
KATIBU WA NEC SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA AZUNGUMZA NA WAANDISHI - DODOMA
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akizungunza na waandishi wa habari, Mei 22, 2013 katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia masuala mbalimbali yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichomalizika jana.
(Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment