Wednesday, May 22, 2013

Rais Kikwete azindua ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa Sehemu ya Migori-Fufu Escarpment

 8E9U7058
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli(Wanne kushoto),Waziri wa Fedha Mgimwa(kushoto),Mwakilishi wa Balozi wa Japan Bwana Kazuyoshi Matsunaga(Wapili kushoto),
Mwakilishi mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Bi.Tonia Kandiero(Wapili kulia) pamoja na mbunge wa Isimani William Lukuvi wakikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa sehemu ya Migori-Fufu Escarpment na Migori Iringa leo mchana.
8E9U6959
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwahutubia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa ujenzi wa Babarabara ya Dodoma Iringa leo mchana.
8E9U6976 
Baadhi ya Wananchi walihudhuria uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Dodoma Iringa eneo la Migori leo mchana (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger