Thursday, May 23, 2013

PICHA ZA MGOMBEA UDIWANI (CCM) KATA YA KALOLENI - ARUSHA

Mgombea Udiwani Kata ya Kaloleni wa CCM Ndg Immanuelly T.Meliari akimkabidhi Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Kaloleni,Ndg Bryson Nassari - siku aliyorudisha fomu yake.
 Kushoto ni Ndg Iddy Mukulu, Mgombea Udiwani Kata ya Kaloleni wa CCM Ndg Immanuelly T.Meliari (mwenye bahasha) Ndg Mutu Marijani (aliyevaa mavazi ya UVCCM) na Ismaili Kipalo (kulia kabisa aliyevaa jaketi) - siku ya kurudisha fomu ya uchaguzi wa Udiwani Kata ya kaloleni.
Kutokea kushoto ni Ndg Iddy Mukulu,akiwa na  Mgombea Udiwani Kata ya Kaloleni wa CCM Ndg Immanuelly T.Meliarinyuma yao ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kaloleni Ndg Ngalawa
 ( aliyevaa miwani)

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger