CCM WANACHAPA KAZI WAO MAANDAMANO
Ujenzi wa Barabara
kuanzia Mji wa Mombo mpaka Hedaru Mkoani Tanga umekuwa ukiendelea kwa kasi
tangu pame mradi huu ulipoanza.hali hii inakuna kutokana na eneo hili kuwa na
bovu kwa kipindi kirefu,ila sasa ufumbuzi wake umepatikana na mambo yanakwenda
vyema.
Sehemu ya barabara
hiyo ambayo ipo kwenye matengenezo makubwa hivi sasa.
No comments:
Post a Comment