Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Marais Wastaafu
Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu
Mkuu wa Umoja wa Afrika Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim kuhusiana na sherehe za
miaka 50 ya AU alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, Mei 26, 2013.
Viongozi hao wastaafu ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioaliokwa kwenye sherehe
hizo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Mkutano wa Kanda wa
Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC na nchi za Maziwa Makuu
katika makao makuu ya Umoja wa Afrika - Mei 26, 2016.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wanahabari baada
ya kuhudhuria Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano
katika DRC na nchi za Maziwa Makuu katika makao makuu ya Umoja wa Afrika-
Mei 26, 2016.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment