MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA WILAYA YA ARUSHA (MNEC) NDG G.MWALUSAMBA AKIWA KATIKA MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI. ALIYESHIKA MAIKI NI NAIBU KATIBU MKUU BARA (MB) NDG MWIGULU NCHEMBA -08/06/2013
WAPENZI,MASHABIKI NA WAKEREKETWA WA CCM WAKIJIMWAGA KATIKA MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
NAIBU KATIBU MKUU BARA (MB) NDG MWIGULU NCHEMBA AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA KATA YA KALOLENI MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
NAIBU KATIBU MKUU BARA (MB) NDG MWIGULU NCHEMBA AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALI MBALI WA KATA YA KALOLENI MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
KUSHOTO NI MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG SOILELI AKIFUATIWA NA NAIBU KATIBU MKUU BARA (MB) NDG MWIGULU NCHEMBA KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
KULIA NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA WILAYA YA ARUSHA (MNEC) NDG G.MWALUSAMBA AKIWA NA NAIBU KATIBU MKUU BARA (MB) NDG MWIGULU NCHEMBA AKISAINI DAFTARI LA WAGENI MARA BAADA YA KUWASILI KWENYE VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
KIKUNDI CHA NGONJERA KIKITUMBUIZA WANANCHI NA WANACHAMA WA CCM WALIOWASILI KWENYE MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM (W) ARUSHA AKINONGONA JAMBO NA NAIBU KATIBU MKUU BARA (MB) NDG
MWIGULU NCHEMBA AKISAINI DAFTARI LA WAGENI MARA BAADA YA KUWASILI KWENYE
VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08
KATIBU MSAIDI/MHASIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG LIVINUS MASHINDANO (aliyevaa miwani) NA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG MUTU MARIJANI WAKIFUATILIA JAMBO KWA MAKINI
MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM
TAIFA WILAYA YA ARUSHA (MNEC) NDG G.MWALUSAMBA AKIWA NA NAIBU KATIBU
MKUU BARA (MB) NDG MWIGULU NCHEMBA AKIKIWASALIMIA MAMIA YA WANAKALOLENI MARA BAADA
YA KUWASILI KWENYE VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
JULIANA SHONZA AKITOA NASAHA KWENYE MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
JULIANA SHONZA AKITOA NASAHA KWENYE MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
KADA MTELA MWAMBAPA AKITOA NASAHA KWENYE MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
MH. RIKOROLA(MB) WA VITI MAALUM KUTOKA SONGEA KWENYE MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
NAIBU WAZIRI WA ARDHI (MB) NDG OLMEDI AKIWA KATIKA MKUTANO WA MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG SOILELI AKIWA KATIKA MKUTANO WA MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI.08/06/2013
NAIBU KATIBU MKUU BARA AKINADI ILANI YA CCM KWENYE MKUTANO WA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
NAIBU KATIBU MKUU BARA AKINADI ILANI YA CCM KWENYE MKUTANO WA KUMNADI
MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA
CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
MGOMBEA UDIWANI KATA YA KALOLENI AKIOMBA KURA KWENYE MKUTANO WA KUMNADI
MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KALOLENI KATIKA VIWANJA VYA MITA 200, KWA
CHEUSI- KALOLENI 08/06/2013
Saturday, June 8, 2013
CHADEMA YAONJA MWAROBAINI WA CCM KATA YA KALOLENI -08/06/2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment