Sunday, June 9, 2013

JULIANA SHONZA AKONGA NYOYO ZA WANACHADEMA -KAMPALA COACH ARUSHA

 Juliana Shonza - katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Kushoto - kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha , Ndg Ole Soileli,Mwenyekiti wa Kata ya kaloleni Ndg H.Ngalawa na Kamanda Mtela Mwambapa, katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Katibu wa CCM Kata ya Kaloleni,katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Wananchi na Wanachama wa CCM wakifuatilia nasaha za viongozi,katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Kamanda wa CHADEMA Arusha akirusha makombora katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Kushoto - kulia ni Ndg Musa Mkanga , Mjumbe wa Hlmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Arusha,Mgombea udiwani katika Kata ya Kaloleni Ndg Imanuely Thomas na Iddy Nkulu,katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Kushoto,Imanuely Thomas,Iddy nkulu na Hassan Sharif-katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Kushoto,Imanuely Thomas,Iddy nkulu na Hassan Sharif-katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Ndg Mboya akimnadi Mgombea Udiwani Kata ya kaloleni Ndg Immanuely Thomas.
Kushoto,Imanuely Thomas,Iddy nkulu na Hassan Sharif-katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Juliana Shonza katika Mkutano wa Kampeni ya Udiwani (CCM) katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Juliana Shonza katika Mkutano wa Kampeni ya Udiwani (CCM) katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013

Mtela Mwambapa akikonga nyoyo za wananchi wa Kata ya Kaloleni,,katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Mgombea Immanuely akiomba kura na kujieleza kwa Wananchi waliohudhuria ,katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Wananchi na Wanachama wa CCM wakifuatilia nasaha za viongozi,katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013
Mgombea Immanuely akiomba kura na kujieleza kwa Wananchi waliohudhuria ,katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kampala Coach katika Kata ya Kaloleni.Juni 9,2013

No comments:

Post a Comment

Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger