Monday, June 10, 2013

KADA WA CCM ATEKA KATA YA SOMBETINI - ELERAI,MTAA WA MABANZINI


KADA WA CCM  NAIBU WAZIRI TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) (MB) MH. AGREY MWANRI KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 KUSHOTO-KULIA KADA Bi NEY EDWARD NA KADA MOHAMED SWEDI KATIKA IGIZO
 KUSHOTO - KULIA NI KATIBU WA UWT (CCM) MKOA,KAIMU KATIBU WA WAZAZI WILAYA YA ARUSHA NDG REHEMA MOHAMED NA KADA WA CCM  NAIBU WAZIRI TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) (MB) MH. AGREY MWANRI KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 KADA WA CCM  NAIBU WAZIRI TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) (MB) MH. AGREY MWANRI AKIFUATIWA NA KATIBU NWA CCM KATA,MGOMBEA UDIWANI KATA YA ELERAI Mwl. LAIZER E.MICHAEL NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA CCM KATA YA ELERAI NDG LOSYOKI LAIZER KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 KULIA - KUSHOTO NI KADA MAARUFU WA CHADEMA NDG MBOYA AKIFUATIWA NA MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDG MARTIN MUNISI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
KADA NA MZEE MAARUFU NDG OLE JOEL AKIONGEA JAMBO KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 MSOMA SHAHIRI NA KADA WA CCM KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 BAADHI YA VIONGOZI WALIOHUDHURIA KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013

KADA WA CCM  NAIBU WAZIRI TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) (MB) MH. AGREY MWANRI KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 KULIA MWENYE KOFIA NI KATIBU WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA AKIWA MIONGONI MWA WANANCHI WA KATA YA ELERAI WALIOFIKA KATIKA MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 
 
 KADA WA CCM  NAIBU WAZIRI TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) (MB) MH. AGREY MWANRI AKIWAOMBA WANANCHI KUMCHAGUA MTU ATAKAYEWALETEA MAENDELEO KUTOKA CCM, MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
 
KADA WA CCM  NAIBU WAZIRI TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) (MB) MH. AGREY MWANRI AKIMUOMBEA KURA Mwl.LAIZER E.MICHAEL KATIKA  MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
MWENYEKITI WA UVCCM (CCM) WILAYA YA ARUSHA AKIFURAHIA JAMBO KATIKA  MKUTANO WA HADHARA WA KINYANGAYIRO CHA UDIWANI KATA YA ELERAI ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
MGOMBEA UDIWANI WA CCM Mwl LAIZER E.MICHAEL AKIELEZA JINSI ATAKAVYOSHIRIKIANA NA WANA ELERAI KATIKA KULETA MAENDELEO KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013
KADA WA CCM  NAIBU WAZIRI TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU (TAMISEMI) (MB) MH. AGREY MWANRI AKISALIMIANA NA MTOTO ALIYESHIRIKI  NA MZAZI WAKE KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA MABANZINI ,KATA YA ELERAI - Juni 10,2013

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger