MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU VIWANJA VYA AZIMIO LA ARUSHA
MWENYEKITI WA UVCCM - CCM WILAYA -ARUSHA Ndg MARTININ MUNISI NAYE ALIKUWA MIONGONI MWA WANANCHI WALIOHUDHURIA MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
WAUZAJI WA VIFAA AINA YA TRONY (Taa za ukutani,Mezani,Ceiling lamp,Tochi na Remote) na vifaa vya aina mbalimbali fika katika MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
PICHA YA JOKOFU LINALOTUMIA JUA KATIKA MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
WAUZAJI WA VIFAA VYA AINA YA D-LIGHT (Taa kwa matumizi ya familia,kwa ajili ya kusomea pia taa unayoweza kuchajia simu nk.) KATIKA MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
PICHA HII INAONYESHA KIFAA CHA KUZALISHIA UMEME KWA KUTUMIA UPEPO KATIKA MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
KINAFAA CHENYE UWEZO WA KUZALISHA UMEME KWA KUTUMIA MWANGA WA JUA KWA MATUMIZA YA TELEVISON KATIKA MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDG MARTIN MUNISI AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA WAZALISHAJI WA MAFUTA YATOKANAYO NA MTI WA MBONO KATIKA MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
MWANA ARUSHA WAHI HII FURSA MUHIMU KWA MAHITAJI YAKO, KIINGILIO NI BURE TU MWISHO NI LEO TAREHE Juni 22,2013-KATIKA MAONYESHO YA NISHATI JADIDIFU KATIKA VIWANJA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA -Juni 21,2013 Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha
No comments:
Post a Comment