Thursday, June 27, 2013

SPIKA WA BUNGE LA OMAN ATUA JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI WA SHIRIKA LA UNDP,BI. HELEN CLARK,PIA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA OMAN IKULU JIJINI DAR LEO
image description

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark Ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi Juni 27,2013.

image description

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi Juni 27,2013.

image description

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi Juni 27,2013.

image description

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi Juni 27,2013.

image description

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam.

image description

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi Juni 27,2013.kulia ni Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger