Tuesday, June 25, 2013

VIWANJA VYA BUNGE DODOMA -Juni 25,2013

 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25,2013.
 
Mbunge wa Nkenge, Asumta Mshama (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25,2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Busega, Dr. Titus kamani, Bungeni Mjini Dodoma 
Juni 25,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na madiwani kutoka jimbo la Chilolo mkoani Iringa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
KWA HISANI YA MICHUZI

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger