Sasa ni rasmi Kethi Kilonzo amefungiwa nje ya kinyanganyiro cha useneta Makueni-Kenya.
Kethi Kilonzo
Sasa ni rasmi Kethi Kilonzo amefungiwa nje ya kinyanganyiro cha useneta Makueni.
Hii ni baada ya tume huru ya uchaguzi IEBC, kuchapisha majina ya wagombeaji wanne watakaoshiriki katika uchaguzi huo mdogo julai 22.
Philip Kaloki wa NARC,
John Harun Mwau wa PICK,
Chama cha Leba kitawakilishwa na Jane Kitundu, na wa nne ni
mgombeaji wa binafsi Urbanus Muthaka.
Muungano wa cord hata hivyo umetaja kufungiwa nje kwa Kethi kama vita vya kisiasa vinavyoendelezwa na wapinzani wao Jubilee.
No comments:
Post a Comment