Tuesday, July 16, 2013

MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA SERA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI

Ujenzi wa Barabara ya Kutoka Songea mjini mpaka Wilaya Namtumbo Mkoani Ruvuma.

image
Ujenzi wa Barabara ya Kutoka Songea mjini mpaka Wilaya Namtumbo Mkoani Ruvuma,umeonekana kwenda vizuri sana pamoja na kwamba ni sehemu kidogo tu imebakia ili imalizike kabisa.Barabara hiyo ambayo hapo awali ilikuwa ikipitika kwa shida sana (kwa mujibu ya wakazi wa miji ya barabara hiyo) hasa wakati wa kipindi cha Mvua,lakini sasa imekuwa ni tofauti kwani imeweza kuziunganisha Wilaya hiyo kwa urahisi.pichani ni baadhi ya Mafundi wa Kampuni ya Sogea wakiwa kazin

Moja ya Mitambo ya Kutengenezea Barabara,likiendelea na kazi yake.Photo by Michuzi Blog

Photo by Michuzi Blog

Photo by Michuzi Blog

Mafundi wakiwa kazini.Photo by Michuzi Blog

Jamvi la maana kama linavyoonekana pichani.Photo by Michuzi Blog

2 comments:

  1. Haya ndo mambo yanayotakiwa, watu wanapiga kelele wanajibiwa kwa vitendo. Big Up Tanzania, Big Up CCM, Big Up Dr. Jakaya Kikwete!

    ReplyDelete

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger