Tuesday, July 16, 2013

TANZANIA YAZIDI KUJIIMARISHA KWENYE MIUNDO MBINU YA BARABARA

Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli atembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Ndundu-Somanga(km 60)

PICHA MBALI MBALI KUHUSU ZIARA HIYO image
Waziri wa Ujenzi Dr.John Magufuli (kushoto) akisikiliza maelezo ya ujenzi wa barabara kutoka Ndundu-Somanga (km 60) mkoani Pwani jana kutoka kwa Mhandisi Mkazi kutoka kampuni ya ESG (Mouchel Parkman )alipotembelea kuangalia maendeleo ya ujenzi huo ambapo hadi sasa wameshalipwa kiasi cha shilingi 59 bilioni..

Baadhi ya shughuli za ujenzi mbalimbali za barabara zikiendelea.
Baadhi ya shughuli za ujenzi mbalimbali za barabara zikiendelea.
Baadhi ya shughuli za ujenzi mbalimbali za barabara zikiendelea.
Baadhi ya shughuli za ujenzi mbalimbali za barabara zikiendelea.

No comments:

Post a Comment

Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger