Thursday, July 25, 2013

Timu ya Taifa (Taifa Stars) ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda Julai 25,2013

Rais Kikwete awatakia Taifa Stars kila la heri katika mchezo wao wa marudiano na timu ya Taifa ya Uganda.

Rais Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars jijini Mwanza
Julai 25,2013

Rais Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars jijini Mwanza
Julai 25,2013

Kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars) kikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda Julai 25,2013,tayari kwa mechi ya marudiano na timu ya Taifa ya nchi hiyo itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii.

Kikosi cha Taifa Stars kikiwa uwanja wa ndege wa Mwanza kikisubiri usafiri kilikutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye naye alitua hapo kwa muda akielekea Bukoba kwa ziara ya siku sita mkoani Kagera
Julai 25,2013

Rais Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars jijini Mwanza
Julai 25,2013

No comments:

Post a Comment

Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger