WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI
AKIKAGUA BAADHI YA MIRADI MBALIMBALI
YA UJENZI WA BARABARA JIJINI
DAR ES SALAAM , INAYOTEKELEZWA CHINI
YA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
MYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! HONGERA DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE
Muoenekano wa ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni katika awamu ya kwanza ambalo umekamilika kwa asilimia 47, katika mradi huo ujenzi huo utagharimu sh.Bilioni 214,kati ya fedha hizo asilimia 60 zimetolewa na Shirika la Hifadhi ya Mfuko wa Jamii (NSSF). Picha hii imepigwa jana wakati Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli hayupo pichani wakati alipofanya ziara ya siku moja ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Dar es Salaam ikiwemo ya ujenzi wa daraji hili.
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha Muonekano wa ujenzi unaoendelea wa ujenzi wa barabara ya Davis Corner- Vituka – Jet Corner
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha Ujenzi wa Daraja katika maeneo ya tegeta wilaya ya kinondoni ukiendelea
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha Sehemu ya mwonekano wa kituo cha mabasi ya mwendo kasi eneo la ferry Kigamboni
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha Baadhi ya ujenzi wa vituo vya mradi wa Mabasi ya mwendo kasi (DART) barabara ya eneo la Ubungo,Mwembechai , Jangwani na Kivukoni vikiendelea.
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha Sehemu ya muonekano wa kituo cha mabasi ya mwendo kasi eneo la Kigamboni.
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha Waziri wa Ujenzi Dkt, John Magufuli, (mwenye kofia ya pama) akiongea na Diwani wa kata ya Mwenge Dkt. Julian Bujugo(aliemshika begani) wakati ya ziara yake .
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha Waziri Dk. Magufuli wakiwa kwenye picha ya pamoja na mafundi baada ya ukaguzi wa miradi inayoendelea nchini.
Posted by Katibu Mwenezi na Siasa CCM (w) Arusha
No comments:
Post a Comment