Mwenyekiti wa CCM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanachama wa CCM wakati wa hafla ya
kuwatambulisha wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM ilkiyofanyika katika viwanja
vya Makao makuu ya CCM mjini Dodoma
leo.
Mwenyekiti wa CCm
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
Kamati Kuu ya CCM nje ya ukumbi wa White House,Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waliokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA.Kushoto
anayevaa kofia ya CCM ni aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Magharibi kwa
tiketi ya CHADEMA Bwana Mtela Mwampamba na kulia ni Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti
Baraza la Vijana CHADEMA Bi Juliana Shonza.Wengine katika picha ni Katibu mkuu
wa CCMNdugu Abdulrahman Kinana(kulia) na kushoto ni
Makamu Mweyekiti wa CCM
Bara Ndugu Philip Mangula.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment