Saturday, February 16, 2013
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa akiiwakilisha jumuiya ya
wazazi, Ndugu William Malecela maarufu kama LeMutuz akiwa anachangia jambo
kwenye Kikao cha Kwanza cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa, lililofanyika katika
Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM maarufu kama
"whitehouse" uliopo Makao Makuu ya Chama Dodoma,leo tarehe 16-17 feb
2013.
Sekretarieti ya Jumuiya ya Vijana wa CCM wakiwa kwenye Kikao
cha Kwanza cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa, lililofanyika katika Ukumbi wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM maarufu kama
"whitehouse" uliopo Makao Makuu ya Chama Dodoma,leo tarehe 16-17 feb
2013.
Wajumbe mbalimbali wa Kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa,
wakiwa kwenye Kikao cha Kwanza cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa, lililofanyika
katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM maarufu kama
"whitehouse" uliopo Makao Makuu ya Chama Dodoma,leo tarehe 16-17 feb
2013.
Viongozi wa Meza Kuu, ambao ni (kuanzia kulia Mfaume
kizigo-Naibu Katibu Mkuu Bara, Martine Shigela- Katibu Mkuu wa UVCCM, (wa
katikati) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa-Ndugu Sadiffah Juma, anayefuatia ni Mboni
Mhita-Makamu Mwenyekiti wa UVCCM wakiwa kwenye Kikao cha Kwanza cha Baraza Kuu
la UVCCM Taifa, lililofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
maarufu kama "whitehouse" uliopo Makao Makuu ya Chama Dodoma,leo
tarehe 16-17 feb 2013.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa CCM, Ndugu Sadifah Juma
akiwa anasisitiza jambo kwenye Kikao cha Kwanza cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa,
lililofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM maarufu kama "whitehouse" uliopo Makao Makuu ya Chama
Dodoma,leo tarehe 16-17 feb 2013.
Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa Dar es
salaam, Ndugu Omar Matulanga (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Vijana
Mkoa wa Kagera wakiwa nje ya Jengo la whitehouse ambapo wameenda kuhudhuria
Kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa, kinachofanyika Dodoma.
Kikundi cha chipukizi wa Umoja wa Vijana na wahasishaji
kutoka katika Mkoa wa Dodoma,
wakiwa wanahamasisha na kuchangamsha wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa.
Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Wa Chama Cha
Mapinduzi wakiwa wanaimba nyimbo za kuhasishana katika Ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Baraza Kuu
la UVCCM Taifa, ambacho kinafanyika katika Ukumbi wa whitehouse, Dodoma, leo
tarehe 16th feb 2013.
No comments:
Post a Comment