Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, January Makamba, Bungeni mjini Dodoma, May
30,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini
Dodoma Mei 30, 2013.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema wakiteta Bungeni Mjini Dodoma
May 30,2013.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiataifa, Bernad
Membe akisoma bajeti ya Wizara yake, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa,
James Mbatia, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum,
Mary Mwanjelwa,Bungeni Mjini Dodoma May 30,2013.
Mbunge wa Mwanza Mjini Ezekiel Wenje akiongozwa na Mbunge wa
Mtera,Livingstote Lusinde (kushoto ) na Ofisi wa Bunge ( jina halikupatikana)
kutoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma baada ya hotuba yaupinzani kuhusu
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa aliyokuwa akiisoma kupingwa
na wabunge wa CUF, Bungeni mjini Dodoma May 30, 2013/ (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
No comments:
Post a Comment