MWENYEKITI WA CCM KATA YA NDG ABRAHAM JOSEPH AKINADI SERA KATIKA KAMPENI ZILIZOFANYIKA LEO KATIKA ENEO LA KIMANDOLU "KWA PETER MSHANA"
WAZEE,WATOTO,AKINA MAMA NA WATU RIKA MBALI MBALI NAO HAWAKURUDI NYUMA KATIKA KUSHIRIKI KATIKA KAMPENI HIZO LEO"
BAADHI YA WANANCHI NA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAKIFUATILIA JAMBO KWA MAKINI"
BAADHI YA WANANCHI NA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAKIFUATILIA JAMBO KWA MAKINI"
VIGELE GELE ,SHANGWE NA NDEREMO NAZO ZILIPAMBA MOTO MARA KWA MARA"
ccm oYEEEE.... NDIVYO ILIVYOKUWA LEO KATIKA MKUTANO HUO"
KATIBU WA WAZAZI CCM WILAYA YA ARUSHA AKIMWAGA SERA KATIKA MKUTANO HUO"
KAMANDA WA CHADEMA NDG NICO AKIMWAGA SERA KATIKA JUKWAA LEO"
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA ELERAI NDG DOMINICK MBOYA ALIYEAMUA KUFICHUA MBINU CHAFU ZA CHADEMA AKIMNADI MGOMBEA WA CCM LEO HUKO KIJENGE MAAENEO YA KWA PETER MSHANA"
MWANACHAMA WA CHADEMA NDG PETRO MOLLEL NAYE ALIAMUA KUTIKIA CCM
MWENYEKITI WA UWT CCM MKOA NDG ZELOTE MARA BAADA YA KUMPOKEA KAMANDA CHADEMA LEO KATIKA MKUTANO HUO ULIOFANYIKA LEO
MWENYEKITI WA UWT CCM MKOA NDG ZELOTE AKIWA NA MGOMBEA UDIWANI KATA YA KIMANDOLU NDG EDNA SAULI KATIKA MKUTANO HUO LEO
MWENYEKITI WA UWT CCM MKOA NDG ZELOTE,AKIMUOMBEA NA KUMNADI MGOMBEA UDIWANI KATIKA KATA HIYO NDG EDNA SAULI LEO.
MGOMBEA UDIWANI KATIKA KATA YA KIMANDOLU NDG EDNA SAULI AKINADI ILANI YA CCM NA KUELEZEA JINSI ATAKAVYOTATUA MATATIZO NA BAADHI YA KERO MBALI MBALI KATIKA MKUTANO HUO LEO
No comments:
Post a Comment