Sunday, June 2, 2013

NGOME YA MBUNGE LEMA YATIMKIA CCM THEMI ARUSHA.

MWIBA WA CHADEMA  KATIBU WA CCM MKOA NA MBUNGE - JEMBE M. CHATANDA AKIMNADI MGOMBEA WA CCM KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA INGIRA - THEMI


KUSHOTO-KULIA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA NDG ALHAJI BULEMBO, KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM MKOA WA ARUSHA NDG.CAPRIANO MAARUFU KADOGOO,MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG WILFRED SOILELI NYUMA MWENYE MIWANI NI MWENYEKITI WA CCM MKOA WA ARUSHA NDG. ONESMO NANGOLE WAKIWASILI KWENYE UWANJA WA MKUTANO THEMI.


KUSHOTO - KULIA MJUMBE WA BARAZA LA UVCCM  CCM MKOA,MJUMBE WA MKUTANO MKKU MKOA ARUSHA,NDG FATUMA NGAIRO,KATIBU WA CCM KATA YA ENGUTOTO NDG. LOTHA LAIZER NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA KATA YA DARAJA MBILI WAKI9FUATILIA KWA MAKINI


MAKAMANDA WA UKWELI WA CCM WAKIFUATILIA KWA MAKINI




BBADHI YA VIONGOZI WALIOHUDHURIA UZINDUZI WA KATA YA THEMI - CCM


MPAMBANAJI SIMBA ALIYETOKEA CHADEMA AKIWAASA WANACHAMA KUWA MAKINI NA CHAMA CHADEMA


MPIGANAJI WA CHADEMA NICO AKISEMA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI INGIRA - THEMI


JEMBE LA CHADEMA KWA JINA MAARUFU KIYOYEI  AKIMWAGA  RADHI KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA CCM -THEMI


MASTER PLANI NA MUWEZESHAJI WA CHADEMA NDG MBOYA AKIMWAGA RADHI - THEMI

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger