ASKARI WA JESHI LA ULINZIWAMEPATA AJALI LEO, KATIKA ENEO LA MWANAKWEREKWE BAADA YA GARI MOJA MSAFARA WA MAZISHI KUPINDUKA KARIBU NA SOKO KUU LA MWANAKWEREKWE UMBALI WA MITA MIA 300 KUTOKA MAKABURI YA MWANAKWEREKWE WALIKOZIKWA WANAJESHI WALIOUAWA DARFUR.
ASKARI WA JESHI LA ULINZI WAKISAIDIA KUONDOA MAJERUHI KATIKA ENEO LA AJALI ILIYOTOKEA LEO ENEO LA MWANAKWEREKWE BAADA YA GARI MOJA MSAFARA WA MAZISHI KUPINDUKA KARIBU NA SOKO KUU LA MWANAKWEREKWE UMBALI WA MITA MIA 300 KUTOKA MAKABURI YA MWANAKWEREKWE WALIKOZIKWA WANAJESHI WALIOUAWA DARFUR.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)

MAJERUHI ZAIDI WAKIONDOLEWA ENEO LA AJALI KUPELEKWA HOSPITALI

Madaktari katika hospitali ya Mnazi mmoja wakitowa huduma kwa Wananchi na Wanajeshi waliopata ajali wakati wakienda katika maziko ya Wanajeshi waliokufa Dafur. Ajali hiyo imetokea katika maeneo ya Mwanakwerekwe sokoni.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Dakitari katika hospitali ya mnazi mmoja akitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari lililopinduka likiwa katika msafara wa maziko ya Marehemu waliokufa Dafur. Ajali hiyo imetokea baada ya kupinduka gari walilokuwa wamepanda wakienda kuzika makaburini Mwanakwerekwe.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Majeruhi wa ajali ya gari ya jeshi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja wakisubiri huduma ya kwanza baada ya kufikishwa hospitali hapo, kwa matibabu.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Daktari katika hospitali ya Mnazi Mmoja akitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali waliofikishwa hospitalini hapo kwa matibabu.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Daktari katika hospitali ya Mnazi Mmoja akitoa huduma kwa majeruhi wa ajali waliofikishwa hospitalini hapo kwa matibabu.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Majeruhi wa ajali hiyo wakiwasili katika eneo la hospitali ya Mnazi Mmoja kwa ajili ya matibabu.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Madaktari katika ya Hospitali ya Mnazi Mmoja wakiandaa vifaa kwa ajili ya kutoa huduma ya kwanza katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja kwa matibabu, ajali hiyo imetokea maeneo ya Mwankwerekwe Sokoni.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Madaktari katika ya Hospitali ya Mnazi Mmoja wakitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi, katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja, ajali hiyo imetokea maeneo ya Mwankwerekwe Sokoni.
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Picha na Othman Mapara (MUHIDIN MICHUZI)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Support :
Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved

No comments:
Post a Comment