Rais Jakaya Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji Wilayani Muleba pia atembelea kuona mazao yatokanayo na uzalishaji mbegu ya kampuni ya Itente ya Wilayani Muleba.
Rais Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Muleba baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji kwa Wilaya hiyo.
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika ngoma ya utamaduni wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete wilayani Muleba.
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani Kagera
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
Rais Kikwete akiongea na viongozi wa wilaya ya Muleba baada ya kupokea taarifa ya maendeleo, akiwa na Mawaziri watano anaoongozana nao katika ziara hiyo
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiwahakikishia viongozi wa Muleba juu ya mipango ya serikali kuleta meli za abiria mpya mbili katika ziwa Victoria.
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
Rais Kikwete akiangalia mazao yatokanayo na uzalishaji mbegu ya kampuni ya Itente ya Muleba.
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
Rais Kikwete akijiunga na waumini wa Muleba kusali swala ya Magharibi kabla ya kufuturu.
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Support :
Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
No comments:
Post a Comment