Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limelazika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chadema katika viwanja vya Soweto na maeneo ya Mianzini ,Kaloleni baada ya kukaidi kutii amri halali iliyowataka kuacha kutumia eneo la Makazi ya wapangaji wa AICC katika viwanja vya Soweto ,licha uongozi wa shirika hilo kuwataka kuwa wasifanyie Mkutano wao hapo.
Wakazi wa nyumba hizo wamekuwa wanaishi katika mazingira magumu ikiwa ni pamoja na kuogopa kutoka ndani kwa kuhofia maisha yao na usalama wa familia na mali zao.
Kasha za bomu zilizorushwa na askari polisi kuwatawanya wafuasi wa chadema katika eneo
la sheli ya njake mianzini .
No comments:
Post a Comment