KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKIWASILI KWENYE OFISI YA
CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA ARUSHA,AKIPOKELEWA NA KATIBU WA CCM MKOA WA
ARUSHA MAMA MARIA CHATANDA,KWA AJILI YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU
WALIOLAZWA KWENYE HOSIPITALI ZA MOUNT MERU,SELIANI NA KWA FATHER
BABU,KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKIWEKA SAINI KWENYE KITABU CHA WAGENI, KWENYE OFISI YA
CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA ARUSHA,AKISHUHUDIWA NA KATIBU WA CCM MKOA WA
ARUSHA MAMA MARIA CHATANDA,ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU
WALIOLAZWA KWENYE HOSIPITALI ZA MOUNT MERU,SELIANI NA KWA FATHER
BABU,KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA
Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKIWAFARIJI WAGONJWA WA WAATHIRIKA WA MABOMU
WALIOLAZWA KWENYE HOSIPITALI ZA MOUNT MERU,KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA
Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKITOKA NNJE YA HOSIPITALI YA MOUNT MERU,KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA
Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA KATIKA HOSIPITALI YA SELIANI AKIWA NA ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI NA PICHA NYINGINE AKIPATA MAELEZO KUTOKA MADAKITARI WA HOSIPITALI HIYO,CHANZO CHA MKASA HUO UNATOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKIWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU
WALIOLAZWA KWENYE HOSIPITALI YA FATHER BABU,KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKISAINI KITABU CHA WAGENI KWENYE HOSIPITALI YA FATHER BABU, Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKIWAAGA VIONGOZI WA HOSIPITALI YA FATHER BABU MARA BAADA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WALIOLAZWA,KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA
Juni 18,2013
KATIBU MKUU WA CCM Ndg.ABDULRAHMAN KINANA AKIONGEA NA BAADHI YA VIONGOZI WA CCM MKOA ARUSHA,MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA MABOMU YA CHADEMA,KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA (kushoto ni ) MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (MNEC) Ndg GODFREY MWALUSAMBA, Juni 18,2013
No comments:
Post a Comment