Friday, June 28, 2013

HODI UWT ARUSHA -MWENYEKITI WA MSIKITI MKUU JIJINI ARUSHA

  Mwenyekiti wa Msikiti Mkuu Jijini Arusha Ndg Abdul Azizi Mkindi akisaini daftari la wageni katika Ofisi za UWT -CCM Wilaya ya Arusha akisuhudiwa na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha Ndg Vicky Mollel (alifunga kitambaa kichwani) na Katibu wa UWT Wilaya Ndg Salome leo Juni 28,2013 :By Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha.
 Katibu wa UWT Wilaya Ndg Salome akiwa kazini katika Ofisi za UWT Wilaya ya Arusha maeneo ya Fire Road leo Juni 28,2013 : By Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha.
Katibu wa UVCCM  Wilaya Ndg Gerald A.Mwadallu akiwa kazini katika Ofisi za UVCCM Wilaya ya Arusha maeneo ya Fire Road leo Juni 28,2013 : By Katibu wa Siasa na Uenezi CCM (w) Arusha.

No comments:

Post a Comment

 
Support : Katibu Mwenezi CCM (w) Arusha | Jasper Kishumbua | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali Blog - Arusha - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper Kishumbua
Proudly powered by Blogger