HIVYO NDIVYO INAVYOONEKANA KUTOKA MTAA WA STADIUM ARUSHA, LEO JIONI
Ajali ya gari aina ya Toyota Mark II T747ACH maarufu kwa jina "BALOON" na gari aina
Suzuki T415BSG kiatika maeneo ya Kaloleni Barabara ya Stadium.Hakuna aliyeumia katika
ajali hiyo.
Suzuki T415BSG kiatika maeneo ya Kaloleni Barabara ya Stadium.Hakuna aliyeumia katika
ajali hiyo.
By Katibu Mwenezi na Siasa (w) Arusha
No comments:
Post a Comment