Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini
Dodoma - Juni 20,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa,
Joseph Mbatia, Bungeni Mjini Dodoma Juni
20,2013.
Wabunge wa CUF wakimsindikiza Yussuf Salim Hussein (wa pili
kushoto) mara baada ya kula kiapo cha kuwa Mbunge, Bungeni Mjini Dodoma Juni 20,2013.
Yussuf Salim Hussein wa CUF akiapa kuwa mbunge Bungeni Mjini
Dodoma Juni 20,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbozi
Mashariki, Godfrey Zambi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 20, 2013.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa
Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya kutoka Kata ya Silambo waliomtembelea Bunge, Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Pia kwa hisani ya MICHUZI
No comments:
Post a Comment